The day Busia County Governor wept in public

Busia County governor Sospeter Ojaamong surprised many during Madaraka day celebrations at Busia stadium on Wednesday 1s June 2016. He publicly admitted that criticism from Busia MPs and other quotas were doing more harm to him.

He urged the police and the county commissioner to save him from the tough verbal attacks as well as helping him meet them so that they agree on a political truce and ceasefire.

Here is his speech in verbatim…

”Bwana commissioner najua hii maneno ya usalama iko kwenyu. Na ukifuatilia maneno ya matanga hii watu wanatoa maneno machungu, wanatusi wengine kwa matanga.

READ ALSO  Deputy Governor makes suprise visit to Jua Kali Fish market

Sasa nyinyi msipochukulia hii watu hatua tutafanya namna gani? Tutakubali tu tutusiwe kila siku?

Kama mtu anafuata mimi mpaka kwa boma yangu kwa kijiji anapiga mimi, mimi natoroka lakini bado ananifuata, nikienda kila mkutano anafuata mimi. Sasa bwana commissioner nitafanyaje sasa? Si lazima nijitetee?

Kwa hivyo madam county commander wewe shikilia kazi yako ,kama ni kupeana usalama pia tafuta hii watu ambao wanatumia maneno machungu kwa kwa sababu kuna viongozi wengine wana maneno ile inachemsha wengine pia damu.

Na unajua kama wewe pia una mikono miwili unaweza ukazitumia saa hiyo. Kwa sababu sasa utabembelezana na watu hadi lini na serikali yenye inahusika na usalama inaangalia?
Tukitaka kusimamisha hiyo vitu, hizo gadgets zenye mumepewa ku-tape muzitumie kwa sababu ile maneno mtu anatoa inagonganisha kabila hii, inagonganisha watu hii na hii alafu sisi tukae tu? Kwa hivyo bwana county commissioner mnajua ile watu ambao wanagoons, hata wengine wanajiita ile majina munajua ulitangaza ile siku huko.
Lazima uite hao watu tusikizane, tunataka amani.
Na mimi kama gavana wa Busia am always willing to receive all these MPs. All these MPs are my friends. It’s only that they did not see that the position of governor is stronger than that of MP. I saw it first. That is the only problem we have.
I saw it coming and I said the governor will be stronger lakini wengine wakakimbilia ubunge, wengine senatorship. Sasa ndio wanagundua. Hatuna uadui wowote.
It’s just the seat that they want. But I have also encouraged whoever want to come and contest kuja tu, wacha matusi .
Itisha mkutano wako, eleza watu agenda yako.
Wananchi wa Busia wakikuchagua tutakuunga mkono.”

Comments
359 Total Views 2 Views Today

Related Post